Show simple item record

dc.contributor.authorRuto, Monica C
dc.date.accessioned2015-12-17T05:36:53Z
dc.date.available2015-12-17T05:36:53Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/93693
dc.description.abstractKazi hii inashughulikia matatizo yanayomkabili mwanamke katika Nyuso za Mwanamke (2010) ya Said A Mohammed na Kidagaa Kimemwozea (2012) ya Ken Walibora na athari zake kwa jamii .Tuliangalia matatizo ya wanawake na athari zinazotokana na matatizo hayo. Pia tumeangazia mitazamo ya waandishi kuhusu udhalimu dhidi ya wahusika wa kike . Sababu za kuchagua mada pia zimeelezwa. Yaliyoandikwa kuhusu mada hii ni mengi kama tutakavyoona hapo baadaye. Misingi ya Nadharia ya Ufeministi na mihimili yake ndiyo iliyoongoza utafiti wetu. Nadharia hii ya Ufeministi ni kwa mujibu wa wahakiki kama Birke (1986), Luvenduski, Randall (1993 ) na wengineo. Nadharia ya Ufeministi inatumia fasihi kama jukwaa la kuelezea kwa uyakinifu hali aliyomo mwanamke ili kumsaidia mtu yeyote kuielewa hali hiyo kama mojawapo wa mihimili yake muhimu . Mbinu ya kusoma maktabani ilitumika, ambapo tulirejelea makala mbalimbali yakiwemo majarida, tasnifu na vitabu kwa lengo la kupambanua suala la utafiti na nadharia kwa kina.en_US
dc.language.isoothersen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleMatatizo Ya Mwanamke Katika Kidagaa Kimemwozea Na Nyuso Za Mwanamkeen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record