Show simple item record

dc.contributor.authorS.A Mohamed, Jackline Munyoki
dc.date.accessioned2016-04-22T09:09:04Z
dc.date.available2016-04-22T09:09:04Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/94847
dc.description.abstractNaungama kuwa kazi hii haikuwa rahisi kuitekeleza lakini kupitia kwa wasimamizi wangu nimeweza kufaulu. Kujitolea kwao ni zaidi ya ilivyotarajiwa maana hawakuchoka kusoma kwa kina kazi hiyo na kunielekeza ipasavyo. Shukrani za dhati ni kwa Dkt. Omboga Zaja na Dkt. Amiri Swaleh waliyojitolea mhanga kuona kazi niliyokuwa nikiishughulikia imeafikiana kulingana na matarajio ya kozi. Urekebishaji na uelekezaji wao ulikuwa wa wazi na wa kufaa mno maaana nilipoirejelea kazi yenyewe, niliweza kuona niliyostahili kutekeleza. Nawapa kongole kwa vile waliweza kunishauri na kunielekeza ipasavyo kwani ushauri wao ulinipa nguvu na maarifa ya kushughulikia kazi yangu. Yakini usimamizi wao ulinifaa zaidi na ndiyo maana nimefaulu katika tasnifu yangu.Aidha nawashukuru wafuatao: Dkt. Iribe, Profesa Habwe na Profesa Kineene kwa maoni yao ya kutia moyo na kujitolea kwao nilipowahitaji. Ombi langu ni Rabuka awabariki kwa kazi zao nzuri.Tena sitawasahau wanakufunzi wenzangu ambao kwa pamoja tuliweza kushirikiana katika masomo ya uzamili kupitia kazi ya vikundi na mijadala tuliyojihusisha nayo kwa lengo la kudurusu kozi zetu. Ushauri wao wa kutia moyo ulinipa motisha na nguvu ya kuendelea.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.subjectFamilia za kiafrikaen_US
dc.titleFamilia za kiafrika katika njia panda: mitagusano na, changamano za usasa katika mhanga nafsi yanguen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record