Show simple item record

dc.contributor.authorKanyange, Evaline K.
dc.date.accessioned2016-04-22T13:02:06Z
dc.date.available2016-04-22T13:02:06Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/94945
dc.description.abstractTasnifu hii imeshughulikia maudhui ya uadilifu katika nyimbo tulizoteua tisa za Joseph Ngala ambazo ni Fuateni mambo ya sheria, Mwana Mpotevu, Ndivyo Ilivyo dunia, Nisikilize Mwanangu, Ndugu Tupendane, Dada Vumilia, Simba, Kisulisuli na Jembe. Tulilenga kubainisha matendo adilifu yanayojitokeza katika nyimbo hizi, kutoa sababu thabiti za kuainisha matendo hayo kama adilifu kwa kutumia nadharia ya unufaishaji hasi kisha tulieleza matendo hayo yanatoa athari zipi kwa walengwa ambao ni jamii/ mtu binafsi. Matokeo ya utafiti wetu yalidhihirisha bayana kuwa msanii Joseph Ngala ameangazia pakubwa maudhui ya uadilifu katika nyimbo zake ambayo ni pamoja na kutii sheria, kutokuwa na tamaa, kusikiliza mawaidha kutoka kwa wakuu, upendo, uvumilivu, shukrani, ushirikiano na uwajibikaji. Aidha, tulibainisha kuwa matendo haya yanatoa athari chanya kwa jamii/ mtu binafsi.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.subjectmaudhui, uadilifu katika nyimbo, Joseph Ngala,en_US
dc.titleMaudhui ya uadilifu katika nyimbo za Joseph Ngalaen_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record