Abstract
Tasnifu hii ninaitabarukia wazazi wangu wapendwa Charles Muchiri na Ann Muchiri kwa kunipa elimu. Mume wangu mpendwa Zachary Theuri kwa kunisaidia kwa hali na mali wakati nilipokuwa nikisoma. Aidha, kwa kunipa moyo wa kuendelea na kazi yangu ya utafiti pamoja na kunipa utulivu wa moyo na akili. Hatimaye, watoto wangu wa dhati Bridgit na Joy, kwa kunivumilia kwani niliwanyima mahitaji muhimu nikimakinika katika masomo yangu