dc.contributor.author | Mwakio, Lonyce, W | |
dc.date.accessioned | 2016-11-22T07:17:50Z | |
dc.date.available | 2016-11-22T07:17:50Z | |
dc.date.issued | 2016 | |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/11295/97673 | |
dc.description.abstract | Katika tasnifu hii tumeonyesha matumizi ya tashbiha, sitiari na tashbiha katika diwani ya
Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine ambayo ni mojawapo ya hadithi fupi za Kiswahili iliyo
na hadithi kumi na tatu zilizoandikwa na waandishi mbalimbali. Katika utafiti huu, mchango
wa tamathali hizi za usemi ulichunguzwa katika kuwasilisha dhamira na maudhui ya
waandishi wa hadithi zilizo katika diwani hii. Ni hadithi saba kati ya kumi na tatu
tulizozishughulikia ambazo tulizichagua kwa kutumia sampuli ya kusudi. Utafiti uliofanywa
umekuwa wa maktabani ambapo data iliyokusanywa ilikuwa data isiyo msingi kwani
tulitegemea habari zilizohifadhiwa kwenye maandishi mbalimbali. Matokeo ya utafiti huu
yamedhihirisha kuwa, waandishi wa hadithi katika diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi
Nyingine walitumia mbinu za tashbiha, istiari na taashira kwa utoshelevu na kwa njia
mwafaka ili kufikia hadhira yao teule kwa njia ya kisanaa. Utafiti huu umeleta uelewa zaidi
wa matumizi ya tamathali hizi kwa kazi husika. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | University of Nairobi | en_US |
dc.rights | Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States | * |
dc.rights.uri | http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ | * |
dc.subject | Matumizi Ya Tashbiha, Sitiari Na Taashira Katika Damu Nyeusi Na Hadithi Nyingine | en_US |
dc.title | Matumizi Ya Tashbiha, Sitiari Na Taashira Katika Damu Nyeusi Na Hadithi Nyingine | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |