Abstract
Tasnifu hii naitabarukia wazazi wangu wapendwa Samuel Gaithuma na Felista Wamaitha kwa kunilea, kunipa nafasi ya kupata elimu na kunipa moyo wa kuendelea na masomo.
Vilevile naitabarukia ndugu zangu George Ndung‟u, Martin Gitau na Mercy Waithera kwa kunipa moyo wa kuendelea licha ya changamoto zote katika safari yangu ya masomo.
Pia kazi hii naitabarukia mpwa wangu Claudia aliyezaliwa katika kipindi hiki cha kuandika tasnifu hii. Mungu akupe maisha marefu.