Utohozi Wa Msamiati Kutoka Kiswahili Hadi Ekegusii
View/ Open
Date
2016Author
Mosota, Emily K
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti huu una lengo la kuweka wazi usayansi uliopo katika istilahi zilizotoholewa kutoka Kiswahili hadi Ekegusii. Utafiti huu umetumia nadharia ya ukopaji uhamisho na N.I.K. katika ufafanuzi wa kazi hii. Vile vile uasilia wa istilahi tohozi umechunguzwa iwapo maneno tohozi yote yalikuwa na majina asilia. Tumegundua kuwa majina asilia mengi yanazidi kufifia kwa kuwa watumizi wa nomino hizo ni wachache. Mofolojia ya Kiswahili na ya Ekegusii imelinganishwa. Ukosefu wa fonimu fulani katika lugha moja ndio husababisha tofauti katika maendelezi. Tofauti kati ya lugha hizi mbili ulibainishwa ingawa zote ni lugha za nasaba moja. Taratibu za utohozi zimechunguzwa, matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa utohozi huongozwa na kudhibitiwa na sheria na kanuni za fonolojia ya Ekegusii.
Publisher
University Of Nairobi
Subject
Utohozi Wa MsamiatiRights
Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesUsage Rights
http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Collections
The following license files are associated with this item: