Utohozi Wa Msamiati Kutoka Kiswahili Hadi Ekegusii
dc.contributor.author | Mosota, Emily K | |
dc.date.accessioned | 2016-11-22T08:46:59Z | |
dc.date.available | 2016-11-22T08:46:59Z | |
dc.date.issued | 2016 | |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/11295/97688 | |
dc.description.abstract | Utafiti huu una lengo la kuweka wazi usayansi uliopo katika istilahi zilizotoholewa kutoka Kiswahili hadi Ekegusii. Utafiti huu umetumia nadharia ya ukopaji uhamisho na N.I.K. katika ufafanuzi wa kazi hii. Vile vile uasilia wa istilahi tohozi umechunguzwa iwapo maneno tohozi yote yalikuwa na majina asilia. Tumegundua kuwa majina asilia mengi yanazidi kufifia kwa kuwa watumizi wa nomino hizo ni wachache. Mofolojia ya Kiswahili na ya Ekegusii imelinganishwa. Ukosefu wa fonimu fulani katika lugha moja ndio husababisha tofauti katika maendelezi. Tofauti kati ya lugha hizi mbili ulibainishwa ingawa zote ni lugha za nasaba moja. Taratibu za utohozi zimechunguzwa, matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa utohozi huongozwa na kudhibitiwa na sheria na kanuni za fonolojia ya Ekegusii. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | University Of Nairobi | en_US |
dc.rights | Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States | * |
dc.rights.uri | http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ | * |
dc.subject | Utohozi Wa Msamiati | en_US |
dc.title | Utohozi Wa Msamiati Kutoka Kiswahili Hadi Ekegusii | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |