Housing Research And Development Unit
Abstract
Maelezo haya yakumbatana na ujuzi wa miaka mingi ya kuuliza
maswali kakita marketing Research na vile vile maswali
kuhuziana na maswali yanayohusu nyumba za mapato madogo
(low cost housing). Na ni maoni yangu kwamba kuuliza maswali
mtu ukumbwa na matatizo yaliyo sawa kila wakati. Hata kama
ni maswali ya aina gani. Maelezo yafuatao yaeleza tu kama
kielelezo njia ya kuuliza maswali wala sio sheria.
Karibu kila savei watakaoulizwa huchaguliwa mbeleni kwa
kutumia kisheria (sampling method). Masociologists
huwachagua watakaoulizwa bila kuwajua hapo mbeleni. Halafu
hupeana lisiti ya nyumba au watu watakaoulizwa maswali na
muulizaji. Kwa muajibu wa science ni lazima watu au nyumba
ambazo zimechaguliwa ziulizwe au waulizwe watu wale wale.
Ni kazi ya mtu anayeuliza kuwapembeleza watu ili wajibu
maswali anapowakuta huko nche. Nitawaelezeni zaidi kuhuzu
jambo hili katika karatasi chache zifuatazo.
Publisher
University Of Nairobi
Subject
Housing Research And DevelopmentRights
Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesUsage Rights
http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Collections
- Research Reports [210]
The following license files are associated with this item: