Dhana Ya Ulinganifu Katika Tafsiri Ya Fasihi Tathmini Ya Usaliti Mjini
View/ Open
Date
2009Author
Nyaga, Mwaniki P
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Tasnifu hii inashughulikia tafsiri ya kazi ya kifasihi iliyotafsiriwa kutoka
kiingereza hadi kiswahili. Tumetumia matini za Betraval in the Citv (1976) 11<1
Usaltti Mjini (1994).
Utafiti wetu umechunguza jinsi dhana ya aina za ulinganifu inaweza kuwepo au
kutokuwepo katika kazi zilizotafsiriwa.
Tasnifu hii imejengeka katika sura nne. Sura ya kwanza tumetoa soma la utafiti.
madhumuni ya utafiti. misingi ya kinadharia. nadharia tete na vilevile tumerejclca
yaliyoandikwa kuhusu soma letu la utafiti.
Katika sura ya Pili tumezingatia fafanuzi za dhana ya ulinganifu pamoja na
kujaciili aina mbalimbali za ulinganifu.
Sura ya tatu ndicho kiini cha utafiti huu ambapo tumechunguza aina za ulinganifu
katika kazi ya kifasihi ya Usaliti Mjini. Tumejadili ulinganifu wa kimaumbo,
kiuamili. k.isarufi. kitamathali. kiisimu. kimuktadha na kimaudhui.
Sura ya nne ni hitimisho. Tumeeleza marokeo ya utafiti wetu na athari zake na
kisha tukatoa mapendekezo yetu.
Publisher
University of Nairobi
Rights
Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United StatesUsage Rights
http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/Collections
The following license files are associated with this item: