Usawiri wa malezi unavyoathiri utambulisho wa vijana katika riwaya ya kiswahili.
View/ Open
Date
2015-10Author
Wanjala, Julita A
Type
ThesisLanguage
otherMetadata
Show full item recordAbstract
Utafiti wetu umeshughulikia usawiri wa malezi unavyoathiri utambulisho wa vijana
katika riwaya tatu teule za Kiswahili ambazo ni Asali Chungu (S.A. Mohamed), Anasa
(Y. King’ala) na Fahari ya Mateso (J.S. Oyoo). Uhusika wa vijana katika riwaya tatu
teule unaelezea jinsi vijana wa jinsia zote walivyotelekezwa katika jamii. Wahusika
vijana wametumika kama mbinu mahususi ya kuwasilisha jumbe za aina maalum ambazo
zinaweza kuwa na athari kubwa katika jamii ya mwandishi. Kutokana na utafiti wetu,
matatizo ya kijamii na kiuchumi huchangia pakubwa changamoto miongoni mwa vijana
Subject
Usawiri wa maleziCollections
- Faculty of Education (FEd) [6020]