Usawiri wa malezi unavyoathiri utambulisho wa vijana katika riwaya ya kiswahili.
dc.contributor.author | Wanjala, Julita A | |
dc.date.accessioned | 2016-04-21T12:21:38Z | |
dc.date.available | 2016-04-21T12:21:38Z | |
dc.date.issued | 2015-10 | |
dc.identifier.uri | http://hdl.handle.net/11295/94628 | |
dc.description.abstract | Utafiti wetu umeshughulikia usawiri wa malezi unavyoathiri utambulisho wa vijana katika riwaya tatu teule za Kiswahili ambazo ni Asali Chungu (S.A. Mohamed), Anasa (Y. King’ala) na Fahari ya Mateso (J.S. Oyoo). Uhusika wa vijana katika riwaya tatu teule unaelezea jinsi vijana wa jinsia zote walivyotelekezwa katika jamii. Wahusika vijana wametumika kama mbinu mahususi ya kuwasilisha jumbe za aina maalum ambazo zinaweza kuwa na athari kubwa katika jamii ya mwandishi. Kutokana na utafiti wetu, matatizo ya kijamii na kiuchumi huchangia pakubwa changamoto miongoni mwa vijana | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.subject | Usawiri wa malezi | en_US |
dc.title | Usawiri wa malezi unavyoathiri utambulisho wa vijana katika riwaya ya kiswahili. | en_US |
dc.type | Thesis | en_US |
Files in this item
This item appears in the following Collection(s)
-
Faculty of Education (FEd) [5981]