Show simple item record

dc.contributor.authorShaviya, Lydiah M
dc.date.accessioned2016-04-28T06:02:28Z
dc.date.available2016-04-28T06:02:28Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/95194
dc.description.abstractLengo kuu katika utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza matumizi ya lugha katika mahubiri ya kidini ya Kiswahili. Tasnifu hii inahusu uchanganuzi wa kiisimu wa baadhi ya semi katika mahubiri ya kidini ya Kiswahili katika mtazamo wa kipragmatiki. Katika utafiti huu tulijikita katika mahubiri ya kipentekoste tuliyorekodi kutoka katika vituo vya runinga vitatu teule ambavyo ni KBC, SAYARE na MBCI. Tuliongozwa na nadharia ya pragmatiki leksika ambayo inachunguza jinsi maana ya neno kiisimu inabadilika katika matumizi. Utafiti huu ulidhihirisha ya kuwa wahubiri wa kidini hutumia baadhi ya semi zenye maana ya kiisimu ni tofauti na maana ya kimuktadha japo kwa viwango tofauti. Vilevile, muktadha wa matumizi ya baadhi ya semi katika mahubiri ya kidini ya Kiswahili huathiri maana katika kiwango cha matumizi ya elementi za kiisimu. Pia ilidhihirika kuwa matumizi ya baadhi ya semi katika mahubiri ya kidini kipragmatiki yana umuhimu.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleUchanganuzi wa kiisimu wa baadhi ya semi katika matini ya kidini: mtazamo wa kipragmatikien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record