Show simple item record

dc.contributor.authorMwazani, Zani E
dc.date.accessioned2016-04-28T06:17:16Z
dc.date.available2016-04-28T06:17:16Z
dc.date.issued2015-10
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/11295/95198
dc.description.abstractKatika tasnifu hii tumetathmini maudhui ya kiukombozi katika diwani ya Jicho la Ndani, iliyoandikwa na Said A. Mohamed (2002). Utafiti umeonyesha kwamba Said A. Mohamed amezingatia sana maudhui haya ya kiukombozi katika diwani hii. Hata hivyo tuligundua pia kwamba Said A. Mohamed alishughulikia maudhui mengine pia yakiwemo yale ya unyumba, siasa, dini na kadhalika. Tumeyasoma mashairi yote 96, na kugundua kwamba takriban mashairi 62 yameshughulikia mada hii ya ukombozi kwa njia moja au nyingine. Katika utafiti wetu, tumetumia nadharia ya uhalisia wa kijamii, na vigezo vyake vimetumika vilivyo katika utafiti huu. Nadharia hii iliwezesha kuhakiki maudhui ya kiukombozi kufungamana na mfumo wa jamii husika. Matokeo ya utafiti wetu yalidhihirisha kwamba mwandishi aliyashughulikia pakubwa maudhui ya kiukombozi, nia yake ikiwa ni kuwazindua wanyonge waione haja ya kujipigania waupate ukombozi.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Nairobien_US
dc.titleMaudhui ya kiukombozi katika diwani ya jicho la ndani iliyoandikwa na Said A. Mohameden_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record