Search
Now showing items 1-4 of 4
Usawiri Wa Watoto Katlka Hadithi Za Mwepesi Wa Kusaha Unalikizo Ya Mkosi
(University of Nairobi, 2015)
Mada ya utafiti huu ilikuwa kuchunguza usawiri wa watoto katika hadithi za Mwepesi
vva Kusahau na Likizo ya Mkosi. Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya
watoto. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kubainisha ...
Ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika mkamandume
(University of Nairobi, 2015)
Tasnifu hii imeshughulikia suala la ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika Mkamandume ya S.
A. Mohamed. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchanganua hali ya kisiasa na kiuchumi katika
Visiwa vya Zanzibar na Pemba na kutathmini ...
Jumbe Katika Leso: Matumizi Va Mbinu Va Kusutalf
(University of Nairobi, 2015)
Katika utafiti huu tunalenga kuchanganua jumbe za kusuta katika leso mjini Mombasa
tukiongozwa na nadharia ya Upole. Utafiti huu ulihusu jumbe za kusuta za leso mjini
Mombasa. Utafiti huu ulikuwa unachunguza haipothesia ...
Ubanifu Wa Fani Katika Diwani Ya Alidhani Kapata Na Hadithi Nyingine
(university of Nairobi, 2015)
Lengo la utafiti huu limekuwa kuchanganua ubanifu wa fani katika hadithi fupi katika
diwani ya Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine (2011) iliyohaririwa na Iribemwangi.
Mada imechaguliwa kwa misingi kuwa kazi ya kifasihi ...