Search
Now showing items 1-4 of 4
Utohozi Wa Msamiati Kutoka Kisw Ahili Hadi Ekegusii
(University of Nairobi, 2016)
Utafiti huu una lengo la kuweka wazi usayansi uliopo katika istilahi zilizotoholewa kutoka
Kiswahili hadi Ekegusii. Utafiti huu umetumia nadharia ya ukopaji uhamisho na N.I.K. katika
ufafanuzi wa kazi hii. Vile vile ...
Maudhui Yanavyo Imarishwa Na Fani Katika Riwaya Ya Nguvu Ya Sala Ya K.W Wamitila
(University of Nairobi, 2016)
Kazi yetu imechunguza vipengele vya fani. Tulifafanua dhana ya fani kwa kusema kuwa, fani ni
vipengele vya kisanaa katika kazi ya fasihi. Aidha, fani ni jinsi ambavyo msanii hufinyanga kazi
yake ili msomaji apate ujumbe ...
Athari Za Kifonolojia Za Lahaja Ya Kiamu Na Kitikuu Katika Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2016)
Tasnifu hii inahusu uchanganuzi wa athari za kifonolojia za lahaja za Kiamu na Kitikuu katika
Kiswahili sanifu ambapo uchanganuzi huu unahusu kulinganisha miundo mbalimbali ya maneno
katika insha za wanafunzi na kuonyesha ...
Matumizi Ya Tashbiha, Sitiari Na Taashira Katika Damu Nyeusi Na Hadithi Nyingine
(university of Nairobi, 2016)
Katika tasnifu hii tumeonyesha matumizi ya tashbiha, sitiari na tashbiha katika diwani ya
Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine ambayo ni mojawapo ya hadithi fupi za Kiswahili iliyo
na hadithi kumi na tatu zilizoandikwa na ...