Browsing Faculty of Arts & Social Sciences (FoA&SS / FoL / FBM) by Title
Now showing items 2930-2949 of 3015
-
Ubanifu Wa Fani Katika Diwani Ya Alidhani Kapata Na Hadithi Nyingine
(university of Nairobi, 2015)Lengo la utafiti huu limekuwa kuchanganua ubanifu wa fani katika hadithi fupi katika diwani ya Alidhani Kapata na Hadithi Nyingine (2011) iliyohaririwa na Iribemwangi. Mada imechaguliwa kwa misingi kuwa kazi ya kifasihi ... -
Uchambuzi Linganishi Wa Maudhui Katika Nyimbo Za Hodiya Za Wadigo Wa Msambweni Na Waswahili Wa Jomvu Kuu
(University of Nairobi, 2022)Nyimbo ni mojawapo wa vipera vya fasihi simulizi. Nyimbo huweza kutofautiana au kulingana katika jamii moja hadi nyingine kutegemea mazingira ya jamii maalum. Utafiti huu ulishughulikia uchambuzi linganishi wa maudhui ya ... -
Uchambuzi Linganishi Wa Maudhui Na Mtindo Baina Ya Ngano Za Waswahili Na Wakuria
(University of Nairobi, 1987)Tasnifu hii ni Uchambuzi linganishi wa Mtindo na maudhui baina ya ngano za Waswahili na Wakuria. Hivyo basi huu ni uchambuzi wa fasihi simulizi, -ambapo tunashughulikia ngano peke yake. Fasihi simulizi inazo tanzu ... -
Uchanganuzi Wa Kauli Katika Sentensi Elekezi Ya Kiswahili Sanifu- Mtazamo Wa Nadharia Ya Ubanifu
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu uchanganuzi wa Kauli katika sentensi elekezi ya Kiswahili sanifu kwa kutumia nadharia ya Ubanifu. Kazi yenyewe ilikuwa na malengo ya kueleza dhana ya uambishaji na kuonyesha viambishi vya kauli katika ... -
Uchanganuzi Wa Kipragmatiki Wa Maana Ya Mawasiliano Katika Jukwaa La Facebook
(University of Nairobi, 2020)Tasnifu hii imeshughulikia uchanganuzi wa maana ya kipragmatiki katika mawasiliano ya jukwaa la Facebook. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza suala la maana ya kipramatiki katika mawasiliano ya jukwaa la Facebook ... -
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Yanayofanywa Na Wazungumzaji Wa Kikamba Wanapojifunza Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2011) -
Uchanganuzi Wakiisimu -matini wamsimuwa Tisa
(University of Nairobi, 2008)Tasnifu hii imeshughulikia uchanganuzi wa kiisimu-matini wa diwani ya Msimu wa Tisa kwa kujikita katika dhana za muala na mshikamano. Uchanganuzi huu umefanywa kwa kufuata mwelekeo wa kinadharia wa muala wa Halliday na ... -
Ufaaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kisomo
(University of Nairobi, 1991)Katika tasnifu hii, tumechunguza ufaaji wa Kiswahili kama lugha ya k' _unzia katika viwango vyote vya elimu. Tumechunguza ~shelezaji wa Kiswahili katika kufunza hasa masomo ya Kisayansi na t- ~uma za kiufundl Tumezingatia ... -
Ugatuzi Wa Utamaduni wa Kikoloni Katika Tamthilia Za Ngugi Wa Thiong'o
(University of Nairobi, 2006) -
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Swifa Ya Nguvumali
(University of Nairobi, 2009)Fani ni jumla ya vipengele vya kimtindo au kisanaa vinavyotumiwa kuwasilisha ujumbe. Katika tenzi vipengele vinavyojitokeza ni mtindo, muundo, toni, msuko, mandhari, wahusika, wakati, matumizi ya lugha na vipengele vingine ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Tambuka: Nadharia Ya Umuundo
(University of Nairobi, 2011) -
Uhakiki Wa Maudhui na Mtindo Katika Tikitimaji
(University of Nairobi, 2014)Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi ... -
Uhakiki wa Riwaya ya nyuso za mwanamke na Said Ahmed Mohamed: mtazamo wa saikolojia changanuzi
(University of Nairobi, 2011)Tasnifu hii inahusu uhakiki wa riwaya ya Nyuso za mwanamke (2010) ya Saidi Ahmed Mohamed kwa mtazamo wa saikolojia changanuzi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuonyesha, kuchanganua na kubainisha mitagusano inayoibuka ... -
Uhalisia Na Uhalisiajabu Katika Riwaya Mpya: Babu Alipofufuka (Said Ahmed Mohamed) Na Watuwa Gehenna (Tom Olali)
(University of Nairobi, 2013)Tasnifu hii inahusu uhalisia na uhalisiajabu katika riwaya za Said Ahmed Mohammed (Babu Alipofufuka) na Tom Olali (Watu wa Gehenna). Katika utafiti huu tumechunguza uhalisiajabu katika kiwango cha wahusika na mandhari ... -
Ujenzi Wa Taswira: Dhima Ya Tashibihi, Sitiari, Tashtiti Na Maelezo Ya Mandhari Katika Utendi Wa Ngamia Na Paa
(University of Nairobi, 2020)Katika utafiti huu, tumeshughulikia dhima ya tashibihi, sitiari, tashtiti na maelezo ya mandhari katika Utendi wa Ngamia na Paa. Utenzi huu ni miongoni mwa tenzi sita za Kiswahili za jadi zilizokusanywa, kuhaririwa na ... -
Ujenzi Wa Ujitambuzinafsia Wa Jinsia Na Upembezwaji Wa Mwanamke Katika Bunilizi Teule Za Clara Momanyi Na Omar Babu
(University of Nairobi, 2022)Jamii nyingi za Kiafrika ni za kuumeni na humweka mwanamke katika ngazi za chini akilinganishwa na mwanamume. Utafiti huu ulishughulikia mchango wa waandishi katika kuangazia jitihada za mwanamke katika kujijengea ... -
Ukiushi Katika Lugha Ya Kimaongezi Dhidi Yakanuni Za Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 1991)Utafiti huu umetokana na imani ~wa~ba ukiushi katika lugha ya kireaongezi ni tukio halisi na dhahiri katika matumizi ya lugha yo yote ile. (Taz. Max Black, 1968). Kuifahamu lugha na kuielewa kikamilifu kunahusu pia ... -
Ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika mkamandume
(University of Nairobi, 2015)Tasnifu hii imeshughulikia suala la ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika Mkamandume ya S. A. Mohamed. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchanganua hali ya kisiasa na kiuchumi katika Visiwa vya Zanzibar na Pemba na kutathmini ... -
Ukombozi Wa Mwanamke Katika Riwaya Za Habwe
(University of Nairobi, 2011)Katika utafiti huu wa ukombozi wa mwanamke, tumeona kwamba ukombozi wa mwanamke unamtegemea mwanamke mwenyewe. Mwanamke anafaa kuchukua mstari wa mbele ili kupigania haki zake za kijamii kama njia ya kupinga ugandamizw ... -
Ukuaji Wa Muundo Na Mawazo Katlka Tamthilia Za Timothy Arege Mtazamo Wa Umuundo
(University of Nairobi, 2013)Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Chamchela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (201 1) Sura ya kwanza ...