Search
Now showing items 11-20 of 83
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Tambuka: Nadharia Ya Umuundo
(University of Nairobi, 2011)
Nafasi Ya Wanawai Katika Uhifadhi Wa Mazinglra Katika Riwaya Ya Nakuruto- Mtazamo Wa Fasihi Ya Ufeministi Wa Kiekolojia
(University of Nairobi, 2014)
Fasihi ya kiekolojia ru uwanja uliochipuka miaka ya 1970 na kuendelea rniaka ya 1990
kuchanganua, kuchambua na kuhakiki kazi za kifasihi. Uwanja huu unalenga kuangazia fani na
maudhui katika matawi ya fasihi kiekolojia ...
Maudhui Yanavyo Imarishwa Na Fani Katika Riwaya Ya Nguvu Ya Sala Ya K.W Wamitila
(University of Nairobi, 2016)
Kazi yetu imechunguza vipengele vya fani. Tulifafanua dhana ya fani kwa kusema kuwa, fani ni
vipengele vya kisanaa katika kazi ya fasihi. Aidha, fani ni jinsi ambavyo msanii hufinyanga kazi
yake ili msomaji apate ujumbe ...
Jumbe Katika Leso: Matumizi Va Mbinu Va Kusutalf
(University of Nairobi, 2015)
Katika utafiti huu tunalenga kuchanganua jumbe za kusuta katika leso mjini Mombasa
tukiongozwa na nadharia ya Upole. Utafiti huu ulihusu jumbe za kusuta za leso mjini
Mombasa. Utafiti huu ulikuwa unachunguza haipothesia ...
Ukombozi Wa Mwanamke Katika Riwaya Za Habwe
(University of Nairobi, 2011)
Katika utafiti huu wa ukombozi wa mwanamke, tumeona kwamba ukombozi wa
mwanamke unamtegemea mwanamke mwenyewe. Mwanamke anafaa kuchukua mstari
wa mbele ili kupigania haki zake za kijamii kama njia ya kupinga ugandamizw ...
Dhamira ya Uozo Na Athari zake Kwa jamii, Katika Riwaya Ya upotevu
(University of Nairobi, 2012)
Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchanganua dhamira ya uozo katika nwaya ya
Upotevu, kuchunguza uhusika unavyotumiwa kuendeleza uovu na kuonyesha madhara ya
uovu katika jamii.
Kazi hii ina sura tano. Katika sura ya ...
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Yanayofanywa Na Wazungumzaji Wa Kikamba Wanapojifunza Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2011)
Nafasi Ya Dini Katika Ndoa: Tathmini Ya Utengano Na Paradiso
(University of Nairobi, 2011)
Dhana Ya Uchimuzi Katika Uendelezaji Wa Riwaya Ya Kimajaribio Ya Mafamba
(University of Nairobi, 2012)
Tasnifu hii inahusu dhana ya uchimuzi katika uendelezaji wa riwaya ya kimajaribio au mpya ya
Mafamba (2008). Ni riwaya ya kwanza ya Olali inayomulika hali ya kisiasa katika jamii yetu na
harakati za wananchi za kuwang'oa ...
Mitazamo Kuhusu Kiswahili Miongoni Mwa Wazungumzaji Wa Kijaluo- Kifani Cha Shule Za Msingi Katika Kaunti Ya Migori.
(University of Nairobi, 2014)
Katika tasnifu hii, tumechunguza mitazamo kuhusu Kiswahili miongoni mwa
wazungurnzaji wa Kijaluo kwa kurejelea shule za msingi katika Kaunti ya Migori.
Madhumuni ya utafiti ni, kupambanua mitazamo kuhusu lugha ya Kiswahili ...