Browsing Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) by Title
Now showing items 15444-15463 of 24440
-
The Mau Mau period in fiction; a comperative analysis of three Kenyan nareb
(University of Nairobi, 1976) -
Maudhui Katlka Tamthilia Za S.A. Mohamed
(University of Nairobi, 1997) -
Maudhui mbalimbali katika nyimeo za John Mwale
(University of NairobiDepartment of Kiswahili, 1991)Tasnifu yetu imejishughulisha na maudhui mbalimbali katika nyimbo za John Mwale.Madhumuni yalikuwa ni kuangalia mchango wa nyimbo hizi kama aina mojawapo ya fasihi ya Kiswahili. Tuna jumla ya sura nne, historia ya ... -
Maudhui Mbalimbali Katika Ushairi Wa Mathias E. Mnyampala (Penda-chako)
(University of Nairobi,Department of Linguistics & Languages,, 2008) -
Maudhui na Mtindo Katika Utenzi Wa Vita Vya Uhud
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu umehusu maudhui na mtindo katika Utenzi wa Vita vya Uhud wa Haji Chum (1959). Tumechunguza maudhui mbalimbali yanayojitokeza kwenye utenzi huu. Tumeshughulikia vipengele mbalimbali vya kimtindo vikiwemo ... -
Maudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohamed
(University of Nairobi, 2015)Katika tasnifu hii tumetathmini maudhui ya kiukombozi katika diwani ya Jicha fa Ndani. iliyoandikwa na Said A. Mohamed (2002). Utafiti umeonyesha kwamba Said A. Mohamed amezingatia sana maudhui haya ya kiukombozi katika ... -
Maudhui ya uadilifu katika nyimbo za Joseph Ngala
(University of Nairobi, 2015)Tasnifu hii imeshughulikia maudhui ya uadilifu katika nyimbo tulizoteua tisa za Joseph Ngala ambazo ni Fuateni mambo ya sheria, Mwana Mpotevu, Ndivyo Ilivyo dunia, Nisikilize Mwanangu, Ndugu Tupendane, Dada Vumilia, ... -
Maudhui Ya Ubaguzi Katika Mhanga Nafsi Yangu
(University Of Nairobi, 2016)Tumeangazia Ubaguzi katika riwaya ya Mhanga Nafsi Yangu ya Said.A Mohamed. Tulichagua mada ya ubaguzi katika riwaya kwa sababu swala hili linatokea katika riwaya nzima ya Mhanga Nafsi yangu, na ni wajibu wetu kuwahamasisha ... -
Maudhui Ya Ukoloni Mamboleo Katika Tamthilia Teule Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2017) -
Maudhui Ya Ukombozi Katika Wimbo Mpya Na Msururu Wa Usaliti
(University of Nairobi, 2016)Tasnifu hii imeshughulikia swala la Maudhui ya Ukombozi katika Wimbo Mpya na Msururu wa Usaliti. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kutathmini changamoto zinazozikumba jamii za Wimbo Mpya na Msururu wa usaliti, kuchunguza ... -
Maudhui ya waadhi katika utenzi wa adili
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Madhumuni ya utafiti huu ni kuchunguza na kubaini wazi maudhui ya waadhi katika Utenzi wa Adili ulioandikwa na Shaaban Robert. Maudhui ya waadhi ni wasia au ushauri mbalimbali wa kipekee, katika mazingira mbalimbali, ... -
The Maxim of "Res Ipsa Loquitur" and Its Application to Hospital Cases
(University of NairobiSchool of Law, 1977) -
Mbatiany 1824-1889:A bibliographical study of a nineteenth century Maasai Oloiboni
(1980)The extant literature about the traditional institutions of the maasai seems to have overlooked the role of religion in the traditional societies. As a result of this, two theories have emerged concerning the role the ... -
Mchango Kwa Vijana Kuleta Mabadiliko Chanya Katika Tamthilia Teule Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu juhudi za vijana kama mawakala wa mabadiliko chanya katika tamthilia nne za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Kifo Kisimani naMaua Kwenye Jua la Asubuhi zilizoandikwa na Kithaka wa Mberia . Pango na Seserumbe, ... -
Mchango Wa Sajili Ya Kidini Katika Kufanikisha Riwaya Mbili Za Ken Walibora (Kidagaa Kimemwozea Na Ndoto Ya Almasi)
(University of Nairobi, 2017)Tuliamua kuchunguza jinsi mwandishi wa riwaya za Kidagaa Kimemwozea na Ndoto ya Almasi ametumia lugha ya kipekee anaporejelea masuala ya dini ya Kikristo ili kubainisha: sifa za sajili ya dini ya Kikristo zinavyojitokeza, ... -
Mchango Wa Sitiari Za Kiswahili Katika Kauli Za Kichochezi Kwenye Diskosi Ya Kisiasa Nchini Kenya
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu ulichunguza jinsi sitiari za Kiswahili hujitokeza katika kauli za wanasiasa na jinsi wanasiasa huweza kuzitumia kueneza kauli za kichochezi nchini Kenya. Vile vile, jinsi lugha ya Kiswahili ijapokuwa ni lugha ... -
Mchango Wa Sitiari Za Kiswahili Katika Kauli Za Kichochezi Kwenye Diskosi Ya Kisiasa Nchini Kenya
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu ulichunguza jinsi sitiari za Kiswahili hujitokeza katika kauli za wanasiasa na jinsi wanasiasa huweza kuzitumia kueneza kauli za kichochezi nchini Kenya. Vile vile, jinsi lugha ya Kiswahili ijapokuwa ni lugha ... -
Mchango Wa Sitiari Za Kiswahili Katika Kauli Za Kichochezi Kwenye Diskosi Ya Kisiasa Nchini Kenya
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu ulichunguza jinsi sitiari za Kiswahili hujitokeza katika kauli za wanasiasa na jinsi wanasiasa huweza kuzitumia kueneza kauli za kichochezi nchini Kenya. Vile vile, jinsi lugha ya Kiswahili ijapokuwa ni lugha ... -
Mchango Wa Vijana Katika Kuleta Mabadiliko Katika Kufa Kuzikana Na Kidagaa Kimemwozea
(University of Nairobi, 2017)Katika utafiti huu, tumeonyesha mchango wa vijana katika kuleta mabadiliko katika riwaya za Kufa Kuzikana na Kidagaa Kimemwozea. Pia, tumeangazia changamoto ambazo vijana hukumbana nazo katika juhudi zao za kuleta mabadiliko. ... -
Mchango wa vijana kuleta mabadiliko chanya katika tamthilia teule za Kiswahili
(University of Nairobi, Kenya, 2012)Kazi hii inahusu juhudi za vijana kama mawakala wa mabadiliko chanya katika tamthilia nne za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Kifo Kisimani naMaua Kwenye Jua la Asubuhi zilizoandikwa na Kithaka wa Mberia . Pango na Seserumbe, ...