Browsing Faculty of Arts by Title
Now showing items 613-632 of 657
-
Uchanganuzi Wa Makosa Ya Kifonolojia Yanayofanywa Na Wazungumzaji Wa Kikamba Wanapojifunza Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 2011) -
Uchanganuzi Wakiisimu -matini wamsimuwa Tisa
(University of Nairobi, 2008)Tasnifu hii imeshughulikia uchanganuzi wa kiisimu-matini wa diwani ya Msimu wa Tisa kwa kujikita katika dhana za muala na mshikamano. Uchanganuzi huu umefanywa kwa kufuata mwelekeo wa kinadharia wa muala wa Halliday na ... -
Ufaaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kisomo
(University of Nairobi, 1991)Katika tasnifu hii, tumechunguza ufaaji wa Kiswahili kama lugha ya k' _unzia katika viwango vyote vya elimu. Tumechunguza ~shelezaji wa Kiswahili katika kufunza hasa masomo ya Kisayansi na t- ~uma za kiufundl Tumezingatia ... -
Ugatuzi Wa Utamaduni wa Kikoloni Katika Tamthilia Za Ngugi Wa Thiong'o
(University of Nairobi, 2006) -
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Swifa Ya Nguvumali
(University of Nairobi, 2009)Fani ni jumla ya vipengele vya kimtindo au kisanaa vinavyotumiwa kuwasilisha ujumbe. Katika tenzi vipengele vinavyojitokeza ni mtindo, muundo, toni, msuko, mandhari, wahusika, wakati, matumizi ya lugha na vipengele vingine ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Tambuka: Nadharia Ya Umuundo
(University of Nairobi, 2011) -
Uhakiki Wa Maudhui na Mtindo Katika Tikitimaji
(University of Nairobi, 2014)Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi ... -
Uhakiki wa Riwaya ya nyuso za mwanamke na Said Ahmed Mohamed: mtazamo wa saikolojia changanuzi
(University of Nairobi, 2011)Tasnifu hii inahusu uhakiki wa riwaya ya Nyuso za mwanamke (2010) ya Saidi Ahmed Mohamed kwa mtazamo wa saikolojia changanuzi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuonyesha, kuchanganua na kubainisha mitagusano inayoibuka ... -
Uhalisia Na Uhalisiajabu Katika Riwaya Mpya: Babu Alipofufuka (Said Ahmed Mohamed) Na Watuwa Gehenna (Tom Olali)
(University of Nairobi, 2013)Tasnifu hii inahusu uhalisia na uhalisiajabu katika riwaya za Said Ahmed Mohammed (Babu Alipofufuka) na Tom Olali (Watu wa Gehenna). Katika utafiti huu tumechunguza uhalisiajabu katika kiwango cha wahusika na mandhari ... -
Ujenzi Wa Taswira: Dhima Ya Tashibihi, Sitiari, Tashtiti Na Maelezo Ya Mandhari Katika Utendi Wa Ngamia Na Paa
(University of Nairobi, 2020)Katika utafiti huu, tumeshughulikia dhima ya tashibihi, sitiari, tashtiti na maelezo ya mandhari katika Utendi wa Ngamia na Paa. Utenzi huu ni miongoni mwa tenzi sita za Kiswahili za jadi zilizokusanywa, kuhaririwa na ... -
Ujenzi Wa Ujitambuzinafsia Wa Jinsia Na Upembezwaji Wa Mwanamke Katika Bunilizi Teule Za Clara Momanyi Na Omar Babu
(University of Nairobi, 2022)Jamii nyingi za Kiafrika ni za kuumeni na humweka mwanamke katika ngazi za chini akilinganishwa na mwanamume. Utafiti huu ulishughulikia mchango wa waandishi katika kuangazia jitihada za mwanamke katika kujijengea ... -
Ukiushi Katika Lugha Ya Kimaongezi Dhidi Yakanuni Za Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, 1991)Utafiti huu umetokana na imani ~wa~ba ukiushi katika lugha ya kireaongezi ni tukio halisi na dhahiri katika matumizi ya lugha yo yote ile. (Taz. Max Black, 1968). Kuifahamu lugha na kuielewa kikamilifu kunahusu pia ... -
Ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika mkamandume
(University of Nairobi, 2015)Tasnifu hii imeshughulikia suala la ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika Mkamandume ya S. A. Mohamed. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchanganua hali ya kisiasa na kiuchumi katika Visiwa vya Zanzibar na Pemba na kutathmini ... -
Ukombozi Wa Mwanamke Katika Riwaya Za Habwe
(University of Nairobi, 2011)Katika utafiti huu wa ukombozi wa mwanamke, tumeona kwamba ukombozi wa mwanamke unamtegemea mwanamke mwenyewe. Mwanamke anafaa kuchukua mstari wa mbele ili kupigania haki zake za kijamii kama njia ya kupinga ugandamizw ... -
Ukuaji Wa Muundo Na Mawazo Katlka Tamthilia Za Timothy Arege Mtazamo Wa Umuundo
(University of Nairobi, 2013)Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Chamchela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (201 1) Sura ya kwanza ... -
Ulumbilugha Na Athari Zake Katika Uandishi Wa Insha Za Shule Za Msingi Ya Cghu Na Moi Avenue; Kifani Cha Sheng Na Kiingereza Kwa Kiswahili
(University of Nairobi, 2022)Utafiti huu ulinuia kuchunguza athari za ulumbilugha kwa Kiswahili. Tasnifu hii imegawanywa kwa sura tano. Katika sura ya kwanza tulishughulikia utangulizi wa kazi hii kwa ujumla kwa kuangazia tatizo la utafiti, maswali ... -
The Unaccompanied Children Refugees: a Case of Dadaab Refugee Camp in Garissa County, Kenya, 1991-2017
(University of Nairobi, 2022)The study examined the unaccompanied refugee children in Daadab Refugee Camp in Garissa County, Kenya, from 1991-2017. Since 1991, the number of unaccompanied children has increased considerably in refugee and IDP camps ... -
The Unsung Hero: Biography of Boniface Mganga
(University of Nairobi, 2021)Boniface Mganga was an accomplished musician, composer, arranger, organist, founder and consummate director of the world famed Muungano National Choir. In addition to his artistic contributions, Boniface Mganga demonstrated ... -
Upanuzi Na Ubanaji Wa Maana Katika Kandanda: Ulinganisho Na Ulinganuzi Nchini Kenya Na Tanzania
(University of Nairobi, 2023)Utafiti huu unahusu upanuzi na ubanaji wa maana katika kadanda nchini Kenya na Tanzania. Tumebainisha kwa kulinganisha na kulinganua namna lugha ya Kiswahili inavyotumika katika utangazaji wa kandanda nchini Kenya na ... -
Upembezwaji Wa Mwanamke Kama Udokezi Wa Nafasi Ya Mwanamke Katika Utenzi Wa Fatuma
(university of Nairobi, 2011)Tasnifu hii imeshughulikia upembezwaji wa mwanamke kama udokezi wa nafasi ya mwanamke katika Utenzi wa Fatuma. Kazi imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza, tumeshughulikia maswala ya kimsingi yanayojenga ...