Browsing Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) by Title
Now showing items 23839-23858 of 24440
-
Uhalisiajabu unavyojitokeza katlka ukawafi wa Miiraji na utenzi wa Fumo Liyongo
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulikusudia kuonyesha sifa za kiuhalisiajabu kama zinavyojitokeza katika Ukawafi wa Miiraji na Utenzi wa Fumo Liyongo. Tulifanyanya hivyo kwa kuwarejelea baadhi ya wahusika na mandhari kama yalivyosawiriwa ... -
Ujagina wa mwanamke katika pango
(University of NairobiCollege of Humanities and Social Sciences, 2013-11)Tasnifu hii inahakiki ujagina wa mwanamke katika Pango. Mwongozo wetu katika kazi hii ni nadharia ya Ufeministi wa Kiafrika. Inalenga kuibua ujagina wa mwanamke katika jamii inayoongozwa na mfumo kandamizi wa ki-ubabedume. ... -
Ujitambuzi na utambulisho wa kijinsia katika riwaya ya maisha kitendawili
(University of Nairobi, 2015)Dhamira ya utafiti huu ilikuwa ni kuchanganua ujitambuzi na utambulisho wa kijinsia katika riwaya ya Maisha Kitendawili ya John Habwe. Mada ilichaguliwa kwa misingi kwamba kazi za kifasihi huibua ujitambuzi na utambulisho ... -
Ukiukaji Wa Kanuni Za Upole Katika Mhanga Nafsi Yangu
(University of Nairobi, 2015)Upole ni suala muhimu sana katika kuanzisha na kudumisha mahusiano mema baina ya wanajamii. Ili kudumisha mahusiano hayo, wazungumzaji wakati wote hulazimika kutumia mikakati mbalimbali ya upole ili kuhifadhi nyuso zao na ... -
Ukiushi katika lugha ya kimaongezi dhidi ya kanuni za kiswahili sanifu
(University of NairobiDepartment of Kiswahili, 1991)Utafiti . huu umetokanana imani kwamba ukiushi katika lugha ya kimaongezi ni tukio halisi na dhahiri katika matumizi ya lugha yo yote ile. (Taz. Max Black, 1968). Kuifahamu lugha na kuielewa kikamilifu kunahusu pia ufahamu ... -
Ukiushi Wa Kiisimu Katika Jumbe Cheshi Za Mtandao
(University of Nairobi, 2018)Utafiti wetu ulilenga kuonyesha ukiushi wa kiisimu katika jumbe cheshi za mtandao katika viwango sita ambavyo ni kiwango cha kigrafolojia, kilekska, kimofolojia, kisintaksia, kisajili na pia kisemantiki. Kwa kuonyesha ... -
Ukiushi wa viambishi-vipatanishi unaojitokeza katika kazi za Kiswahili zilizoandikwa na wanafunzi wa shule za Upili jijini Nairobi
(University of Nairobi, Kenya, 2010)Tasnifu hii inashughulikia ukiushi wa viambishi-vipatanishi vya ngeli za 3, 4, 6, 9, 10, 11 na 14 unaotokea katika shule za upili za jijini Nairobi. Utafiti huu umezingatia mtazamo wa uchanganuzi wa upotofu. Timeigawa kazi ... -
Ukuaji wa muundo na mawazo katlka tamthilia za Timothy Arege mtazamo wa umuundo
(University of Nairobi, 2013)Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Cham chela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (2011 ) Sura ya kwanza ... -
Ulinganifu Wa Taarifa Za Habari: Tathmini Ya Tafsiri Kutoka Kiswahili Hadi Kikipsigis Katika Kituo Cha Kitwek
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulichunguza ulinganifu wa taarifa za habari zinazotafsiriwa kutoka Kiswahili hadi Kikipsigis, mojawapo ya lahaja za Kikalenjin, katika kituo cha redio cha Kitwek ambacho ni kitengo cha Shirika la Utangazaji la ... -
Ulinganifu Wa Taarifa Za Habari: Tathmini Ya Tafsiri Kutoka Kiswahili Hadi Kikipsigis Katika Kituo Cha Kitwek
(University Of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulichunguza ulinganifu wa taarifa za habari zinazotafsiriwa kutoka Kiswahili hadi Kikipsigis, mojawapo ya lahaja za Kikalenjin, katika kituo cha redio cha Kitwek ambacho ni kitengo cha Shirika la Utangazaji la ... -
Ulinganishaji wa fani za kiutendi katika nyimbo za harusi miongoni mwa jamii ya Wataveta na Waswahili
(University of Nairobi, 2015)Nafasi ya fani za kiutendi katika nyimbo za harusi miongoni mwa jamii ya Waswahili na Wataveta ni utafiti wenye gharadhi ya kuonyesha jinsi fani za kiutendi zinavyotumiwa katika nyimbo zinazoimbwa wakati wa harusi.Tuli ... -
Ulinganishi wa kirai tenzi cha ks na ek kimofosintaksia: mtazamo wa uminimalisti
(Department of Arts-Kiswahili, 2005)Kazi hii ni jaribio 1a kutafiti kiulinganishi kirai tenzi eha 1ugha ya Ekegusii na Kiswahili sanifu,kwa kutumia nadharia ya uminimalisti.Tumeshughu1ikia kirai tenzi kimuundo na kiupatanishi kwa kutumia kanuni ... -
Ulinganishi Na Ulinganuzi Wa Tasfida Za Matibabu Katika Kiswahili Na Kimarachi
(University of Nairobi, 2016)Tasnifu hii imeangazia ulinganishi na ulinganuzi wa tasfida za muktadha wa matibabu katika Kiswahili na Kimarachi. Tumejikita katika tasfida za tiba, ushauri nasaha, uhamasishaji na uasaji. Tulichagua mada hii kwa sababu ... -
Ulinganishi Na Ulinganuzi Wa Tasfida Za Matibabu Katika Kiswahili Na Kimarachi
(Univeraity of Nairobi, 2016-10)Tasnifu hii imeangazia ulinganishi na ulinganuzi wa tasfida za muktadha wa matibabu katika Kiswahili na Kimarachi. Tumejikita katika tasfida za tiba, ushauri nasaha, uhamasishaji na uasaji. Tulichagua mada hii kwa sababu ... -
Ulinganishi Wa Matumizi Ya Tasfida Za Muktadha Wa Nyumbani Katika Lugha Ya Kikamba Na Kiswahili
(University of Nairobi, 2013)Tasnifu hii imeshughulika na kulinganisha matumizi ya tasfida katika lugha ya Kikamba na ya Kiswahili. Ingawa tasnifu hii imetolewa kwa mahitaji ya shahada ya Kiswahili, data iliyochanganuliwa ni kutoka lugha ya Kikamba ... -
Ulinganishi wa mofofonolojia ya Kiswahili na Kidawida
(University of Nairobi,Department of Linguistics & Languages,, 2000) -
Ulinganisho wa muundo wa kikundi nomino cha kiswahili sanifu na wacha Kikuyu cha Kabete.
(Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 1999)Katika tasnifu hii tumelinganisha muundo wa Kikundi Nomino cha Kiswahili Sanifu na ule wa Kikuyu cha Kabete huku tukionyesha kufanana na kutofautiana kwake. Hivyo basi tasnifu hii imejikita katika Isimu Linganishi. Sura ... -
The Ultra Vires Rule On Its Death-Bed: The Rule Of Law As The Basis Of Judicial Review In Kenya
(University of NairobiSchool of Law, 2008)Judicial review has assumed great significance as a field of legal practice in modern times. In Kenya, few fields of legal practice have grown as rapidly in scope and significance over the past decade as that of judicial ... -
Umaanisho Katika Tamthilia Ya Mama Ee Ya Mwachofi
(University of Nairobi, 2017)Mchakato mzima wa kuikamilisha tasnifu hii haukuwa kwa bidii zangu mwenyewe bali iliweza kufanikishwa kutokana na michango na msaada wa wengine. Kwanza kabisa ninamtolea Mwenyezi Mungu kwa fadhili zake na kunipa nguvu za ... -
Umenke na ubaguzi wa kijinsia katika methali na vitendawili vya Kiswahili
(University of Nairobi, Kenya, 2012)Utafiti huu unahusu umenke na ubaguzi wa kijinsia dhidi ya wanawake na jinsi unavyojitikeza katika methali na vitendawili vya Kiswahili. Kila siku tunasoma vitabu vingi vya riwaya,tamthilia na mashairi yanayozungumzia ...