Browsing Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) by Title
Now showing items 15438-15457 of 24440
-
Matumizi Ya Tamathali Za Usemi Teule Katika Utenzi Wa Qiyama.
(University of Nairobi, 2018)Katika utafiti huu, tumeshughulikia matumizi ya takriri, tashbihi, sitiari, tashihisi na maswali ya balagha katika Utenzi wa Qiyama. Utenzi huu ni miongoni mwa tenzi ndefu za kidini na za jadi za Kiswahili. Utenzi wa ... -
Matumizi Ya Tashbiha, Sitiari Na Taashira Katika Damu Nyeusi Na Hadithi Nyingine
(University of Nairobi, 2016)Katika tasnifu hii tumeonyesha matumizi ya tashbiha, sitiari na tashbiha katika diwani ya Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine ambayo ni mojawapo ya hadithi fupi za Kiswahili iliyo na hadithi kumi na tatu zilizoandikwa na ... -
Matumizi Ya Taswira Katika Tamthilia Za Said Ahmed Mohamed: Pungwa, Kivuli Kinaishi Na Mashetani Wamerudi
(University of Nairobi, 2018)Mada ya utafiti huu ilikuwa kuchunguza matumizi ya taswira katika tamthilia za Pungwa, Kivuli Kinaishi na Mashetani Wamerudi. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza matumizi ya taswira katika tamthilia hizi na kuonyesha ... -
Matumizi ya usonde nafsi na usonde jamii: mtazamo wa uhusiano
(Idara Ya Kiswahili, University of Nairobi, 2013)MUHTASARI Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya usonde nafsi na usonde jamii katika mawasiliano ya walimu na wanafunzi wa Kiswahili. Tumetumia nadharia ya uhusiano kwa sababu ya sifa ya usonde ya kutegemea muktadha ... -
Maturity Models and Benchmarking of Ict Services Among Ministry of Agriculture Parastatals
(2014-11-27)The objectives of this study was to produce and test a simple questionnaire based maturity model that can be used in assessing ICT services maturity in Ministry of Agriculture parastatals. In addition, the study was to ... -
Mau Environmental Conflict and the Human Security of the Evictees
(University of Nairobi, Kenya, 2010)This research is towards critically analyzing and building an in-depth understanding of the Mau environmental conflict and the human security of the evictees. The Mau forest complex is Kenya's largest indigenous forest and ... -
The Mau Mau period in fiction; a comperative analysis of three Kenyan nareb
(University of Nairobi, 1976) -
Maudhui Katlka Tamthilia Za S.A. Mohamed
(University of Nairobi, 1997) -
Maudhui mbalimbali katika nyimeo za John Mwale
(University of NairobiDepartment of Kiswahili, 1991)Tasnifu yetu imejishughulisha na maudhui mbalimbali katika nyimbo za John Mwale.Madhumuni yalikuwa ni kuangalia mchango wa nyimbo hizi kama aina mojawapo ya fasihi ya Kiswahili. Tuna jumla ya sura nne, historia ya ... -
Maudhui Mbalimbali Katika Ushairi Wa Mathias E. Mnyampala (Penda-chako)
(University of Nairobi,Department of Linguistics & Languages,, 2008) -
Maudhui na Mtindo Katika Utenzi Wa Vita Vya Uhud
(University of Nairobi, 2017)Utafiti huu umehusu maudhui na mtindo katika Utenzi wa Vita vya Uhud wa Haji Chum (1959). Tumechunguza maudhui mbalimbali yanayojitokeza kwenye utenzi huu. Tumeshughulikia vipengele mbalimbali vya kimtindo vikiwemo ... -
Maudhui ya kiukombozi katlka Diwani ya Jicho la Ndani iliyoandikwa na Said A. Mohamed
(University of Nairobi, 2015)Katika tasnifu hii tumetathmini maudhui ya kiukombozi katika diwani ya Jicha fa Ndani. iliyoandikwa na Said A. Mohamed (2002). Utafiti umeonyesha kwamba Said A. Mohamed amezingatia sana maudhui haya ya kiukombozi katika ... -
Maudhui ya uadilifu katika nyimbo za Joseph Ngala
(University of Nairobi, 2015)Tasnifu hii imeshughulikia maudhui ya uadilifu katika nyimbo tulizoteua tisa za Joseph Ngala ambazo ni Fuateni mambo ya sheria, Mwana Mpotevu, Ndivyo Ilivyo dunia, Nisikilize Mwanangu, Ndugu Tupendane, Dada Vumilia, ... -
Maudhui Ya Ubaguzi Katika Mhanga Nafsi Yangu
(University Of Nairobi, 2016)Tumeangazia Ubaguzi katika riwaya ya Mhanga Nafsi Yangu ya Said.A Mohamed. Tulichagua mada ya ubaguzi katika riwaya kwa sababu swala hili linatokea katika riwaya nzima ya Mhanga Nafsi yangu, na ni wajibu wetu kuwahamasisha ... -
Maudhui Ya Ukoloni Mamboleo Katika Tamthilia Teule Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2017) -
Maudhui Ya Ukombozi Katika Wimbo Mpya Na Msururu Wa Usaliti
(University of Nairobi, 2016)Tasnifu hii imeshughulikia swala la Maudhui ya Ukombozi katika Wimbo Mpya na Msururu wa Usaliti. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kutathmini changamoto zinazozikumba jamii za Wimbo Mpya na Msururu wa usaliti, kuchunguza ... -
Maudhui ya waadhi katika utenzi wa adili
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Madhumuni ya utafiti huu ni kuchunguza na kubaini wazi maudhui ya waadhi katika Utenzi wa Adili ulioandikwa na Shaaban Robert. Maudhui ya waadhi ni wasia au ushauri mbalimbali wa kipekee, katika mazingira mbalimbali, ... -
The Maxim of "Res Ipsa Loquitur" and Its Application to Hospital Cases
(University of NairobiSchool of Law, 1977) -
Mbatiany 1824-1889:A bibliographical study of a nineteenth century Maasai Oloiboni
(1980)The extant literature about the traditional institutions of the maasai seems to have overlooked the role of religion in the traditional societies. As a result of this, two theories have emerged concerning the role the ... -
Mchango Kwa Vijana Kuleta Mabadiliko Chanya Katika Tamthilia Teule Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2012)Kazi hii inahusu juhudi za vijana kama mawakala wa mabadiliko chanya katika tamthilia nne za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Kifo Kisimani naMaua Kwenye Jua la Asubuhi zilizoandikwa na Kithaka wa Mberia . Pango na Seserumbe, ...