Browsing Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) by Title
Now showing items 23799-23818 of 24440
-
Uchanganuzi wa proposisheni katika Kiswahili: nadharia ya uhusiano
(University of Nairobi, Kenya, 2010)Utafiti huu umeshugulikia uchanganuzi wa proposisheni katika Kiswahili. Tumetumia Nadharia ya Uhusiano ya Sperber, D na Wilson, D. (2003), haswa vipengee vyake ambavyo ni; kanuni ya mawasiliano katika uhusiano na kanuni ... -
Uchanganuzi Wa Vishazi Vumishi Kisintapragmatiki: Ulinganishi Na Ulinganuzi Na Vishazi Vingine Vya Kiswahili Sanifu
(University of Nairobi, Kenya, 2009)Utafiti huu ni kuhusu uchanganuzi wa vishazi vumishi kisintapragmatiki. Vishazi vumishi vina uamilifu wa kisintaksia na nadharia iliyotwnika katika utafiti huu ni Nadharia ya Uhusiano. Kwa hivyo, sintaksia na pragmatiki ... -
Uchunguzi Wa Sitiari Dhanifu Katika Methali Za Kiswahili -mtazamo Wa Nadharia Ya Uhusiano
(University Of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulilenga kuchunguza lugha kama inavyotumiwa katika methali za sitiari za Kiswahili. Methali za kisitiari zimebainisha kuwa maana halisi ya neno inaweza kubadilika na kuchukua maana nyingine ambayo ni tofauti ... -
Uchunguzi Wa Sitiari Dhanifu Katika Methali Za Kiswahili -mtazamo Wa Nadharia Ya Uhusiano
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulilenga kuchunguza lugha kama inavyotumiwa katika methali za sitiari za Kiswahili. Methali za kisitiari zimebainisha kuwa maana halisi ya neno inaweza kubadilika na kuchukua maana nyingine ambayo ni tofauti ... -
Uchunguzi Wa Vipengele Teule Vya Fani Katika Mashetani Wa Alepo
(University of Nairobi, 2017) -
Uchunguzi"Wamaandishi ya Boukheit Amana (Mti-Mle)
(University of Nairobi, 1991)Mada yetu ina sura nne, ambazo zinaingilia mambo mbali mbali~katika sura ya kwanza, tunajishughulisha na methodolojia ambayo tuliitumia katika utafiti wetu. Katika sura hii hii tumeeleza nadharia tuliyoiteua, udurusu wa ... -
Udhanaishi na fumbo la Mungu: Uchanganuzilinganishi wakichwamaji (Euphrase kezilahabi) nalapeste (Albert Camus)
(Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 2006)Katika tasnifu hii tumeshughulikia riwaya zaLa peste (1947) ya Albert Camus na Kichwamaji ya Euphrase Kezilahabi. Tumeangaziajinsi waandishi hao wameshughulikia maswala ya udhanaishi na fumbo la Mungu kwa jumla. Uhakiki ... -
Ufaaji wa Kiswahili kama lugha ya kisomo
(Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 1991)Katika tasnifu hii, tumechunguza ufaaji wa Kiswahili kama lugha ya kufunzia katika viwango vyote vya elimu. Tumechunguza utoshelezaji wa Kiswahili katika kufunza hasa masomo ya Kisayansi na taaluma za kiufundi. Tumezingatia ... -
Ufundishaji Wa Kiswahili Katika Shule Za Upili Chini Ya Mfumo Wa 8-4-4 (Kidato Cha Kwanza)
(University of Nairobi,Department of Linguistics & Languages,, 2008) -
Ugatuzi wa utamaduni wa kikoloni katika tamthilia za Ngugi Wa Thiong'o
(University of NairobiDepartment of linguistics and African languages, university of Nairobi, 2006-06)Tahakiki nyingi za kazi za kifasihi za Kiswahili ambazo zimefanywa kuhusiana na ukoloni na ukoloni rnambo-leo zimejikita katika nadharia ya U-Marx. Tahakiki za aina hiyo hubakia kuangazia suala la uhusiano wa kiuchumi ... -
Uhakiki linganishi wa kifani wa tenzi za mikidadi na mavasa na swifa va nguvumali
(Idara va Isimu na lugha za kiafrika, Chuo kikuu cha Nairobi, 2005-07)Tasnifu hii ni juu ya uhakiki-linganishi wa ki-fani wa tenzi za Swifa ya Nguvumali (S Y N M) na Mikidadi na Mayasa(M N M). Utenzi wa M N M ulitungwa na SaidAbdallah Masudiel Buhry miaka mingi kabla ya Karne ya Ishirini. ... -
Uhakiki Linganishi Wa Kifani Wa Tenzi Za Mikidadi Na Mavasa Na Swifa Va Nguvumali
(University of Nairobi, 2005)Tasnifu hii ni juu ya uhakiki-linganishi wa ki-fani wa tenzi za Swifa ya Nguvumali (5 Y N M) na Mikidadi na Mayasa(M N M). Utenzi wa M N M ulitungwa na SaidAbdallah Masudiel Buhry miaka mingi kabla ya Karne ya Ishirini. ... -
Uhakiki Linganishi Wa Sifa Za Mashujaa: Sakawa Na Fumo Liyongo
(University of Nairobi, 2015)Kuna tafiti kadhaa zilizowahi kufanywa kuhusu majagina wa Kiafirika. Hata hivyo hakuna utafiti linganishi uliowahi kufanywa kuwahusu Fumo Liyongo na Sakawa. Tasnifu hii inazilinganisha sifa zao jinsi zinavyojitokeza katika ... -
Uhakiki wa bina-damu! (2002) na Musaleo! (2004) na K.W. Wamitila.
(Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 2005)Utafiti huu umeshughulikia suala la uhalisiajabu katika riwaya za fasihi ya Kiswahili. Riwaya zilizohakikiwa ni Bina-Adamu!(2002) na Musaleo!(2004) za K.W. Wamitila. Nadharia ilyoongoza utafiti huu ni kitengo kimoja cha ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Ngano Tano Za Kiswahili
(University of NairobiCollege of Humanities and Social Sciences, 2013)Tasnifu hii imeshughulikia fani katika ngano teule za Kiswahili kwa kutumia nadharia ya umuundo. Tasnifu hii ina sura sita. Katika sura ya kwanza, tumeangalia tatizo la utafiti, madhumuni ya utafiti, sababu za kuchagua ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Riwaya Za Katama Mkangi
(University of Nairobi, 1996)Tasnifu hii inashughulikia fani katika riwaya tatu za Katama Mkangi. Kazi hizi ni: Ukiwa (1975), Mafuta (1984) na Walenisi (1995) . Katika tasnifu hii kuna sura tano. Sura ya kwanza ni pendekezo la utafiti ambapo ... -
Uhakiki wa fani katika tamthilia za K.W. Wamitila
(University of NairobiFaculty of Arts Kiswahili, 2005)Tasnifu hii ni uhakiki wa fani katika tamthilia za Kiswahili ambazo zimetungwa na Wamitila, K.W. Tamthilia hizi ni Wingu La Kupita (1999) na Pango (2003). Katika tahakiki yetu, tumeteua na kujadili vipengele maalum vya ... -
Uhakiki wa fani katika tenzi za howani mwana howani na mwanakukuwa za Zaynab Himid Mohammed
(University of Nairobi, Kenya, 2009)Utafiti huu unahusu uhakiki wa (ani katika Tenzi za Howani Mwana Howani na Mwanakukuwa zilizotungwa na Zaynab Himid Mohammed. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea tatizo la utafiti, sababu ... -
Uhakiki Wa Fani Katika Tenzi Za Howani Mwana Howani Na Mwanakukuwa Za Zaynab Himid Mohammed
(University of Nairobi, 2009)Utafiti huu unahusu uhakiki wa fani katika Tenzi za Howani Mwana Howani na Mwanakukuwa zilizotungwa na Zaynab Himid Mohammed. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea tatizo la utafiti, sababu ... -
Uhakiki wa fani katika utendi wa mwana ninga: nadharia ya umuundo
(University of Nairobi, Kenya, 2011)Utafiti huu unahusu uhakiki wa fani katika Utendi wa Mwana Ninga. Nakala tunayotumia ni ya H.E Lambert katika (Bulletin No.23 of the East African Inter-territorial Language Committee). Utendi huu unaaminiwa kuwa ulitungwa ...