Now showing items 23814-23833 of 24440

    • Uhakiki Wa Fani Katika Riwaya Za Katama Mkangi 

      Njuguna, Ndungu (University of Nairobi, 1996)
      Tasnifu hii inashughulikia fani katika riwaya tatu za Katama Mkangi. Kazi hizi ni: Ukiwa (1975), Mafuta (1984) na Walenisi (1995) . Katika tasnifu hii kuna sura tano. Sura ya kwanza ni pendekezo la utafiti ambapo ...
    • Uhakiki wa fani katika tamthilia za K.W. Wamitila 

      Kahiro, Duncan M (University of NairobiFaculty of Arts Kiswahili, 2005)
      Tasnifu hii ni uhakiki wa fani katika tamthilia za Kiswahili ambazo zimetungwa na Wamitila, K.W. Tamthilia hizi ni Wingu La Kupita (1999) na Pango (2003). Katika tahakiki yetu, tumeteua na kujadili vipengele maalum vya ...
    • Uhakiki wa fani katika tenzi za howani mwana howani na mwanakukuwa za Zaynab Himid Mohammed 

      Mbayi, Lina A (University of Nairobi, Kenya, 2009)
      Utafiti huu unahusu uhakiki wa (ani katika Tenzi za Howani Mwana Howani na Mwanakukuwa zilizotungwa na Zaynab Himid Mohammed. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea tatizo la utafiti, sababu ...
    • Uhakiki Wa Fani Katika Tenzi Za Howani Mwana Howani Na Mwanakukuwa Za Zaynab Himid Mohammed 

      Mbayi, Lina A (University of Nairobi, 2009)
      Utafiti huu unahusu uhakiki wa fani katika Tenzi za Howani Mwana Howani na Mwanakukuwa zilizotungwa na Zaynab Himid Mohammed. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya kwanza tumeelezea tatizo la utafiti, sababu ...
    • Uhakiki wa fani katika utendi wa mwana ninga: nadharia ya umuundo 

      Murage, Joyce N (University of Nairobi, Kenya, 2011)
      Utafiti huu unahusu uhakiki wa fani katika Utendi wa Mwana Ninga. Nakala tunayotumia ni ya H.E Lambert katika (Bulletin No.23 of the East African Inter-territorial Language Committee). Utendi huu unaaminiwa kuwa ulitungwa ...
    • Uhakiki wa fani katlka Tamthilia za K.W.Wamitila. 

      Mwangi, Duncan, K (University of Nairobi, 2005)
      Tasnifu hii ni uhakiki wa fani katika tamthilia za Kiswahili ambazo zimetungwa na Warnitila, K.W. Tamthilia hizi ni Wingu La Kupita (1999) na Pango (2003). Katika tahakiki yetu, tumeteua na kujadili vipengele maalum vya ...
    • Uhakiki wa hali ya vijana katika riwaya ya Vipanya vya Maabara 

      Naliaka, Ruth (University of Nairobi, Kenya, 2012)
      Utafiti huu umeshughulikia uhakiki wa hali ya vijana katika Vipanya rya Maabara kwa kuegemea maudhui na wahusika. Katika sura ya kwanza, tumeangazia Somo la Utafiti, Madhumuni, Nadharia Tete, Sababu za kuichagua mada hii, ...
    • Uhakiki wa kifani katika utenzi wa siri li asirali na utenzi wa mwana Fatuma 

      Wepoh, Eric W (2005)
      Kazi hii tumeibawibu katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia tatizo letu la utafiti, sababu za kulichagua somo hili, madhumuni yetu, na nadharia tete zinazotuongoza. Vilevile katika sura hii tumeeleza yaliyoandikwa ...
    • Uhakiki Wa Kifani Katika Utenzi Wa Siri Li Asirali Na Utenzi Wa Mwana Fatuma 

      Wepo, Eric W (University of Nairobi, 2005)
      Kazi hii tumeibawibu katika sura nne. Katika sura ya kwanza tumeangazia tatizo letu la utafiti, sababu za kulichagua somo hili, madhumuni yetu, na nadharia tete zinazotuongoza. Vilevile katika sura hii tumeeleza yaliyoandikwa ...
    • Uhakiki Wa Kimaudhui Na Kifani Wa Kidagaa Kimemwozea 

      Rono, Pauline (University of NairobiDepartment of Linguistics, 2013-11)
      Tasnifu hii ilishughulikia uhakiki wa kifani na kimaudhui wa Kidagaa Kimemwozea ya Ken Walibora(2012). Tuliangalia maudhui na tulinuia kuonyesha mbinu zilizotumiwa katika kuwaumba wahusika na jinsi wahusika vijana ...
    • Uhakiki Wa Maudhui Na Mtindo Katika Tikitimaji 

      Muthoni, Margaret (University of Nairobi, 2014-11)
      Tumefanya Uhakiki wa maudhui na mtindo katika Tikitimaji.Tumeangazia maudhui mbalimbali na lugha ya kitamathali iliyotumika kuendeleza dhamira na maudhui hayo. Utafiti wetu ulijikita katika Tikitimaji ila ilipotubidi ...
    • Uhakiki wa maudhui teule katika utendi wa mikidadi na mayasa 

      Gatakaa, Geoffrey (University of Nairobi, Kenya, 2012)
      Katika utafiti huu tunalenga kuchanganua grafiti ya maktaba za Chuo Kikuu cha Nairobi nehini Kenya tukiongozwa na nadharia ya Utambulisho. Utafiti huu ulihusu grafiti ya maktaba kwenye dawati za kusomea, katika maktaba za ...
    • Uhakiki Wa Maudhui Teule Katika Utenzi Wa Nabii Isa 

      Owallah, Kennedy O (University of NairobiIDARA YA ISIMU NA LUGHA., 2013)
      Utafiti huu unahusu uchanganuzi wa maudhui teule katika Utenzi wa Nabii Isa. Huu ni utenzi wa miaka ya (1970) lakini una uyakinifu katika jamii ya kisasa kimaudhui. Kazi hii imegawika katika sura tano. Katika sura ya ...
    • Uhakiki Wa Maudhui Teule Katlka Utendi Wa Mikidadi Na Mayas" 

      Gatakaa, Geoffrey (University of Nairobi, 2012)
    • Uhakiki Wa Mtindo Katika Vipanya Vya Maabara 

      Tsuma, Samuel M (University of Nairobi, 2014-10)
      Tasnifu hii imeshughulikia uhakiki wa mtindo katika Vipanya vya Maabara. Tumetumia nadharia ya umuundo kwa kuwa, nadharia hii hubainisha vipengele vya kimtindo ambavyo ni tashihisi, maswali ya balagha, italiki na vinginevyo. ...
    • Uhakiki Wa Nthimo (Methali) Za Kikamba: (Kwa Kufuatisha Misingi Ya Methali Za Kiswahili). 

      King`ei, Geofrey K (University of Nairobi, 1992)
      Tasnifu hii imeshughulika na kuhakiki moja wapo ya fani mashuhuri za fasihi, simulizi yaani methali. jambo moja muhimu ambalo tungelitaja hapa ni kwamba ingawaje tasnifu hii imetolewa kwa mahitaji ya shahada Y' Kiswahili, ...
    • Uhakiki Wa Riwaya Za Ahmed Molhamed Katika Misingi Ya Kifeministi 

      Mogere, Osoro G. (University of Nairobi, 2003)
    • Uhakiki wa tamthilia ya Amezidi kama kazi ya kiubwege 

      Magare, A.F (2014-02-25)
      Tasnifu hii naitabarukia mamangu mpendwa Mary Nyaboke Magare. "Mama umeteseka, umesononeka na umeaibishwa kwa sababu ya malezi yako mema. Naomba usilie mama. Mtoto wangu Lilian aliyezaliwa tarehe kumi julai mwaka huu ...
    • Uhakiki Wa Tamthilia Ya Watoto Kama Zao La Michezo Ya Utotoni 

      Bwire, Thedius O (University of Nairobi, 2004)
      Kazi hii inashughulikia tamthilia ya watoto kama zao la michezo au maigizo ya utotoni. Kuna sura tano katika tasnifu hii. Kuna tanbihi mwishoni mwa sura ya kwanza, ya pili, ya tatu na ya nne. Baada ya sura ya tano, kuna ...
    • Uhakiki wa usimulizi katika riwaya ya Walenisi ya Katama Mkangi 

      Ong'ondi, Bogonko E (Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 2005)
      Tasnifu hii imeshughulikia uhakiki na unakidi wa riwaya ya Walenisi iliyoandikwa na marehemuMkangi na kutolewa kwa mara ya kwanza mwaka wa tisaini na tano (1995). Kazihii tumeigawa katika sura sita. Katika sura ya kwanza, ...