Browsing Faculty of Arts & Social Sciences, Law, Business Mgt (FoA&SS / FoL / FBM) by Title
Now showing items 23834-23853 of 24446
-
Uhakiki Wa Mtindo Katika Vipanya Vya Maabara
(University of Nairobi, 2014-10)Tasnifu hii imeshughulikia uhakiki wa mtindo katika Vipanya vya Maabara. Tumetumia nadharia ya umuundo kwa kuwa, nadharia hii hubainisha vipengele vya kimtindo ambavyo ni tashihisi, maswali ya balagha, italiki na vinginevyo. ... -
Uhakiki Wa Nthimo (Methali) Za Kikamba: (Kwa Kufuatisha Misingi Ya Methali Za Kiswahili).
(University of Nairobi, 1992)Tasnifu hii imeshughulika na kuhakiki moja wapo ya fani mashuhuri za fasihi, simulizi yaani methali. jambo moja muhimu ambalo tungelitaja hapa ni kwamba ingawaje tasnifu hii imetolewa kwa mahitaji ya shahada Y' Kiswahili, ... -
Uhakiki Wa Riwaya Za Ahmed Molhamed Katika Misingi Ya Kifeministi
(University of Nairobi, 2003) -
Uhakiki wa tamthilia ya Amezidi kama kazi ya kiubwege
(2014-02-25)Tasnifu hii naitabarukia mamangu mpendwa Mary Nyaboke Magare. "Mama umeteseka, umesononeka na umeaibishwa kwa sababu ya malezi yako mema. Naomba usilie mama. Mtoto wangu Lilian aliyezaliwa tarehe kumi julai mwaka huu ... -
Uhakiki Wa Tamthilia Ya Watoto Kama Zao La Michezo Ya Utotoni
(University of Nairobi, 2004)Kazi hii inashughulikia tamthilia ya watoto kama zao la michezo au maigizo ya utotoni. Kuna sura tano katika tasnifu hii. Kuna tanbihi mwishoni mwa sura ya kwanza, ya pili, ya tatu na ya nne. Baada ya sura ya tano, kuna ... -
Uhakiki wa usimulizi katika riwaya ya Walenisi ya Katama Mkangi
(Depatment of Linguistics, University of Nairobi, 2005)Tasnifu hii imeshughulikia uhakiki na unakidi wa riwaya ya Walenisi iliyoandikwa na marehemuMkangi na kutolewa kwa mara ya kwanza mwaka wa tisaini na tano (1995). Kazihii tumeigawa katika sura sita. Katika sura ya kwanza, ... -
Uhakiki wa usimulizi katika tamthilia ya kijiba cha moyo na mstahiki meya
(University of Nairobi, 2015-11)Utafiti huu umeshughukilia usimulizi katika tamthilia ya Kijiba cha Moyo na Mstahiki Meya kwa kutumia nadharia ya naratolojia kwa mtazamo wa Genette (1972-1983). Utafiti huu una malengo mawili: Kwanza, kubainisha vipengele ... -
Uhakiki Wa Wakati Na Uwasilishaji Usemi Kama Vipengeevya Usimulizi Katika Utenzi Wa Nabii Isa
(University of Nairobi, 2018)Utafiti huu umechunguza usimulizi katika Utenzi wa Nabii Isa kwa kutumia nadharia ya naratolojia.Kazi hii ilijibana katika vipengee viwili vya usimulizi – wakati na uwasilishaji usemi. Kimsingi utafiti huu ulipania kuonyesha ... -
Uhakiki Wa Zigana Kama Drama Ya Kimajaribio
(University of Nairobi, 2014-02-25) -
Uhalisia na uhalisiajabu katika riwaya mpya: babu alipofufuka (said Ahmed Mohamed) na watu wa Gehenna (Tom Olali )
(University of NairobiDepartment of Linguistics and Languages, 2013-11)Tasnifu hii inahusu uhalisia na uhalisiajabu katika riwaya za Said Ahmed Mohammed (Babu Alipofufuka) na Tom Olali (Watu wa Gehenna). Katika utafiti huu tumechunguza uhalisiajabu katika kiwango cha wahusika na mandhari ... -
Uhalisiajabu Unavyojitokeza Katika Ukawafi Wa Miiraji Na Utenzi Wa Fumo Liyongo
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulikusudia kuonyesha sifa za kiuhalisiajabu uanavyojitokeza katika Utenzi wa Ukawafi wa Miiraji na Utenzi wa fumo Liyongo. Tulifanya hivyo kwa kuwarejelea baadhi ya wahusika na mandhari kama yalivyosawiriwa ... -
Uhalisiajabu unavyojitokeza katlka ukawafi wa Miiraji na utenzi wa Fumo Liyongo
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulikusudia kuonyesha sifa za kiuhalisiajabu kama zinavyojitokeza katika Ukawafi wa Miiraji na Utenzi wa Fumo Liyongo. Tulifanyanya hivyo kwa kuwarejelea baadhi ya wahusika na mandhari kama yalivyosawiriwa ... -
Ujagina wa mwanamke katika pango
(University of NairobiCollege of Humanities and Social Sciences, 2013-11)Tasnifu hii inahakiki ujagina wa mwanamke katika Pango. Mwongozo wetu katika kazi hii ni nadharia ya Ufeministi wa Kiafrika. Inalenga kuibua ujagina wa mwanamke katika jamii inayoongozwa na mfumo kandamizi wa ki-ubabedume. ... -
Ujitambuzi na utambulisho wa kijinsia katika riwaya ya maisha kitendawili
(University of Nairobi, 2015)Dhamira ya utafiti huu ilikuwa ni kuchanganua ujitambuzi na utambulisho wa kijinsia katika riwaya ya Maisha Kitendawili ya John Habwe. Mada ilichaguliwa kwa misingi kwamba kazi za kifasihi huibua ujitambuzi na utambulisho ... -
Ukiukaji Wa Kanuni Za Upole Katika Mhanga Nafsi Yangu
(University of Nairobi, 2015)Upole ni suala muhimu sana katika kuanzisha na kudumisha mahusiano mema baina ya wanajamii. Ili kudumisha mahusiano hayo, wazungumzaji wakati wote hulazimika kutumia mikakati mbalimbali ya upole ili kuhifadhi nyuso zao na ... -
Ukiushi katika lugha ya kimaongezi dhidi ya kanuni za kiswahili sanifu
(University of NairobiDepartment of Kiswahili, 1991)Utafiti . huu umetokanana imani kwamba ukiushi katika lugha ya kimaongezi ni tukio halisi na dhahiri katika matumizi ya lugha yo yote ile. (Taz. Max Black, 1968). Kuifahamu lugha na kuielewa kikamilifu kunahusu pia ufahamu ... -
Ukiushi Wa Kiisimu Katika Jumbe Cheshi Za Mtandao
(University of Nairobi, 2018)Utafiti wetu ulilenga kuonyesha ukiushi wa kiisimu katika jumbe cheshi za mtandao katika viwango sita ambavyo ni kiwango cha kigrafolojia, kilekska, kimofolojia, kisintaksia, kisajili na pia kisemantiki. Kwa kuonyesha ... -
Ukiushi wa viambishi-vipatanishi unaojitokeza katika kazi za Kiswahili zilizoandikwa na wanafunzi wa shule za Upili jijini Nairobi
(University of Nairobi, Kenya, 2010)Tasnifu hii inashughulikia ukiushi wa viambishi-vipatanishi vya ngeli za 3, 4, 6, 9, 10, 11 na 14 unaotokea katika shule za upili za jijini Nairobi. Utafiti huu umezingatia mtazamo wa uchanganuzi wa upotofu. Timeigawa kazi ... -
Ukuaji wa muundo na mawazo katlka tamthilia za Timothy Arege mtazamo wa umuundo
(University of Nairobi, 2013)Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Cham chela (2007), Kijiba cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (2011 ) Sura ya kwanza ... -
Ulinganifu Wa Taarifa Za Habari: Tathmini Ya Tafsiri Kutoka Kiswahili Hadi Kikipsigis Katika Kituo Cha Kitwek
(University of Nairobi, 2016)Utafiti huu ulichunguza ulinganifu wa taarifa za habari zinazotafsiriwa kutoka Kiswahili hadi Kikipsigis, mojawapo ya lahaja za Kikalenjin, katika kituo cha redio cha Kitwek ambacho ni kitengo cha Shirika la Utangazaji la ...