Search
Now showing items 31-40 of 156
Mchangowa Vijana Kuleta Mabadiliko Chanya Katika Tamthilia Teule Za Kiswahili
(University of Nairobi, 2012)
Kazi hii inahusu juhudi za vijana kama mawakala wa mabadiliko chanya katika tamthilia nne
za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Kifo Kisimani naMaua Kwenye Jua fa Asubuhi zilizoandikwa
na Kithaka wa Mberia . Pango na Seserumbe, ...
Ukuaji Wa Muundo Na Mawazo Katlka Tamthilia Za Timothy Arege Mtazamo Wa Umuundo
(University of Nairobi, 2013)
Utafiti huu umechunguza ukuaji wa muundo na mawazo katika tamthilia za Timothy
Arege. Tamthilia zilizoteuliwa kuhakikiwa ni tatu. Nazo ni: Chamchela (2007), Kijiba
cha Moyo(2009) na Mstahiki Meya (201 1)
Sura ya kwanza ...
Utohozi Wa Msamiati Kutoka Kisw Ahili Hadi Ekegusii
(University of Nairobi, 2016)
Utafiti huu una lengo la kuweka wazi usayansi uliopo katika istilahi zilizotoholewa kutoka
Kiswahili hadi Ekegusii. Utafiti huu umetumia nadharia ya ukopaji uhamisho na N.I.K. katika
ufafanuzi wa kazi hii. Vile vile ...
Uyakinifu Wa Maudhui Makuu Katika Utenzi Wa Abdirrahmani Na Sufiyani
(University of Nairobi, 2017)
Tasnifu hii imeshughulikia uchambuzi wa maudhui makuu katika Utenzi wa
Abdirrahmani na Sufiyani kwa kusoma utenzi wenyewe na kudondoa yale masuala
mazito yenye uyakinifu katika maisha ya jamii. Tumeongozwa na nadharia ...
Matumizi Ya Taswira Kama Klgezo Cha Kufanikisha Maudhui Katlka Utendi Wa Siiraji Uliyotungwa Na Muhammad I Kijumwa
(University of Nairobi, 2012)
Somo letu la utafiti linashughulikia matumizi ya taswira kama kigezo cha kufanikisha
maudhui katika Utendi wa Siiraji.
Utafiti wetu unanuia kuchunguza kigezo cha taswira na umuhimu wake katika
kufanya maudhui ya mtunzi ...
Urudiaji Na Uwasilishaji Wa Maana Katika Ushairi Wa Kisasa
(University of Nairobi, 2017)
Tasnifuhii imeshughulikia urudiaji na uwasilishaji wa maana katika diwani ya Dhifa na Vifaru
Weusi. Tumeangazia mambo yafuatayo: usuli, suala la utafiti, malengo ya utafiti, maswali ya
utafiti,sababu za kuchagua mada, ...
Usawiri Wa Watoto Katlka Hadithi Za Mwepesi Wa Kusaha Unalikizo Ya Mkosi
(University of Nairobi, 2015)
Mada ya utafiti huu ilikuwa kuchunguza usawiri wa watoto katika hadithi za Mwepesi
vva Kusahau na Likizo ya Mkosi. Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya
watoto. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa kubainisha ...
Lugha Katika Idara Ya Uhamiaji Nchini Kenya:mfano Wa Idara Ya Uhamiaji Mombasa
(University of Nairobi, 2017)
Utafiti huu ulihusu uchunguzi wa lugha yamazungumzo katika Jdara ya Uhamiaji nchini Kenya.
Ni utafiti uliokuwa na malengo mawili ambayo ni; kubainisha aina za sentensi zinazotumika
katika mazungumzo katika Jdara ya ...
Ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika mkamandume
(University of Nairobi, 2015)
Tasnifu hii imeshughulikia suala la ukombozi wa kisiasa na kiuchumi katika Mkamandume ya S.
A. Mohamed. Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchanganua hali ya kisiasa na kiuchumi katika
Visiwa vya Zanzibar na Pemba na kutathmini ...
Uhakiki Wa Fani Katika Utenzi Wa Tambuka: Nadharia Ya Umuundo
(University of Nairobi, 2011)